16 Sep 2026 10:46 am | Citizen TV 18 views Gavana wa Nyamira Amos Nyaribo amezindua rasmi mchakato wa chanjo kwa mifugo katika kaunti hiyo dhidi ya ugonjwa wa shuna au kwato na midomo.