- 295 viewsDuration: 2:45Wakazi wa kaunti ya Samburu wamelalamikia mgogoro baina ya binadamu na wanyama pori, hali ambayo imechangia vifo vya wakazi na kuziacha familia nyingi kuombeleza vifo vya wapendwa wao. Wakazi hao wanaitaka idara ya wanyama pori nchini KWS kaunti hiyo kuweka ua ili kuzuia madhara zaidi.