Migogoro ya wanyamapori na binadamu yapungua Kajiado

  • | Citizen TV
    938 views

    Wakazi wa kaunti ya kajiado hasa wale ambao wamekuwa wakihangaishwa na wanyapori wameeleza matumaini yao ya kupungua kwa migogoro hiyo kufutia hatua ya shirika la huduma za wanyamapori nchini -KWS- kuendelea kuwasajilia maafisa zaidi katika zoezi linaloendelea kote nchini.