Miili iliyotupwa kando ya barabara yatambuliwa Baringo

  • | Citizen TV
    314 views

    Miili hiyo ilipatikana eneo la mogotio, baringo Familia za marehemu zinadai walitekwa nyara Miili ilikuwa na majeraha na alama za kunyongwa