5,201 views
Duration: 2:26
#ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews
🔴 LIVE: US Election Day 2024: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub
Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond.
Miili miwili ya vijana waliokuwa wamezama baada ya kuhusika kwenye ajali ya boti katika eneo la Mkono wa Bahari la Tudor, kaunti ya Mombasa, imeopolewa leo katika sehemu mbili tofauti za bahari. Miili hiyo inakamilisha idadi ya waliozama majini, baada ya mwili mmoja kupatikana Jumapili. Akizungumza na wanahabari, Gavana wa Mombasa Abdulswamad Shariff Nassir amesema serikali ya kaunti kwa ushirikiano na idara za usalama zimeweka mikakati kabambe kuhakikisha hakuna atakayeendesha michezo baharini bila idhini kutoka kwa ofisi husika, ili kuimarisha usalama. Ajali hiyo ilitokea Ijumaa, baada ya boti lililobeba watu 22 kupinduka na watatu kati yao kupotea.
Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews
SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos:
https://www.youtube.com/ktnnewskenya
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe
Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews
Like us on http://www.facebook.com/ktnnews