Miili ya watoto waliotoweka Nyeri yapatikana mto Ragati baada ya miezi miwili

  • | NTV Video
    906 views

    Familia mbili katika kijiji cha Kiamwangi, Kaunti ya Nyeri, zinapitia jinamizi la kusikitisha. Watoto wao wawili, mmoja akiwa na umri wa miezi 1.9 na mwingine miaka miwili walitoweka katika mazingira ya kutatanisha, ndani ya miezi miwili. Miili yao baadaye ilipatikana ikiwa haina uhai katika mto wa Ragati.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya