Mikakati ya kudumisha usalama wakati wa mechi imepongezwa

  • | Citizen TV
    671 views

    Timu ya taifa Harambee Stars imeandikisha historia kwenye michuano ya CHAN na kuwashangaza wengi baada ya kufuzu kwa robo fainali wakiibuka kidedea katika Kundi A. Kenya, ikishiriki kwa mara ya kwanza kwenye mashindano haya, imekamilisha hatua ya makundi bila kupoteza mechi yoyote.