6 Feb 2026 1:22 pm | Citizen TV 38 views Serikali imeongeza juhudi za kukabiliana na ukame katika kaunti ya Turkana na maeneo mengine yaliyoathiriwa ili kulinda mifugo na kuhifadhi maisha ya jamii za wafugaji zilizoathiriwa na ukame unaoendelea