26 Sep 2025 10:29 am | Citizen TV 239 views Duration: 1:27 Shirika la huduma kwa vijana nchini NYS limeanzisha mchakato wa kutoa mafunzo ya uokaji wa mikate kama moja wa mtalaa wa elimu ya kiufundi kwa vijana wanaojiunga na shirika hilo kote nchini.