Skip to main content
Skip to main content

Mikakati ya serikali ya kuboresha makazi ya polisi

  • | Citizen TV
    151 views
    Idadi kubwa ya maafisa wa polisi bado wanaishi katika nyumba ambazo hazifai. Akihojiwa na kamati ya bunge kuhusu mradi wa nyumba kwa polisi, Inspekta mkuu wa polisi Douglas Kanja amesema kuwa ni asilimia 20 tu ya polisi wanaoishi kwenye makazi bora huku idara hiyo ikiwa mbioni kuhakikisha miradi ya nyumba kwa polisi imekamilishwa.