Mikakati yawekwa kukabiliana na mila potofu kaunti ya Pokot

  • | Citizen TV
    198 views

    Tohara kwa mtoto wa kike na ndoa za utotoni zimekuwa tamaduni zilizoendelea miongoni mwa wakaazi wa jamii za Pokot Magharibi. Hata hivyo, juhudi sasa zinafanywa kubuni sera kuwaadhibu wanaoendesha mila hizi potofu.