Mikoba ya Demokrasia: Vita ya DRC | Sehemu ya pili

  • | NTV Video
    1,216 views

    Mazungumzo yameshika kasi ya kupatanisha vikosi vya waasi nchini jamhuri ya demokrasia ya Congo na serikali ya rais felix tshisekedi katika mzozo wa drc ambao umesababisha maafa mengi.

    Rwanda imekanusha kuhusika na mzozo huo lakini pia Burundi inasema Rwanda inapanga kuishambulia.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya