Skip to main content
Skip to main content

Mili ya Naomi Wanjiru na mpenziwe yapatikana imetupwa Embakasi

  • | KBC Video
    14,883 views
    Duration: 3:37
    Familia moja huko Mai Mahiu kaunti ya Nakuru inatafuta haki kwa binti yao anayedaiwa kuuawa na mwili wake pamoja na ule wa mpenzi wake kupatikana katika hifadhi ya maiti ya City, Nairobi. Kwa mujibu wa familia hiyo, Naomi Wanjiru Mburu mwenye umri wa miaka 29 alitoweka mnamo tarehe 25 Agosti mwaka 2025 baada ya kualikwa kwa kinywaji na aliyekuwa mpenzi wake na marafiki katika baa moja mjini Mlolongo kaunti ya Machakos. Taarifa ya polisi inaonesha kwamba mili yao ilipatikana imetupwa Embakasi na baadaye kupelekwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha City. John Kahiro na taarifa kwa utendeti. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive