- 21,082 viewsDuration: 51s"Nikishinda kura ya urais nitapokea, nikishindwa nitamuunga mkono na kumpongeza yoyote atakayeshinda," -Mgombea urais kupitia chama cha UDP, Saum Rashid mara baada ya kupiga kura jijini Dar es Salaam Tanzania. #uchaguzi2025 #tanzania #bbcswahili #wanawakeSubscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw