Mipango ya mazishi yatatizwa kijiji cha kaukotoit Busia

  • | Citizen TV
    1,499 views

    Familia moja kutoka kijiji cha Kaukotoit, Teso Kaskazini kaunti ya Busia imesalia na mahangaiko kufuatia mzozo wa ardhi ambao umesabisha mazishi ya mzee mwenye miaka 71 kukosa kufanyika kwa mwezi mmoja sasa. Familia hiyo inadai kulazimika kusitisha shughuli za mazishi baada ya bwanyenye mmoja kudai kumiliki ardhi hiyo