Mipasuko ya ardhi yashuhudiwa katika eneo la Kimungur kufuatia mvua kubwa inayonyesha eneo hilo

  • | Citizen TV
    714 views

    Madereva wanaotumia barabara ya Kabarnet - Eldama Ravine kaunti ya Baringo wametakiwa kuwa makini zaidi kufuatia mvua kubwa inayonyesha eneo hilo.