Miradi ya kukuza talanta yahimizwa Samburu

  • | Citizen TV
    47 views

    Changamoto imetolewa kwa vijana katika kaunti ya Samburu, kukuza talanta zao badala ya kujihusisha na uhalifu.