- 3,199 viewsMisri Alhamisi imetoka sare 2-2 dhidi ya Ghana licha ya kumpoteza nyota wake Mohamed Salah katika nous ya kwanza ya mechi hiyo kutokana na jeraha. Hata hivyo mwandishi wa VOA Muqbill Yabarow, aliyeko Adjame, Abidjan anasema haijulikani kiwango cha jeraha alilopata Salah. Kwa upande wa Ghana, magoli yote mawili yalipachikwa wavuni na Mohammed Kudus, dakika 20 baada ya Salah kuondoka uwanjani, kwenye mechi hiyo ya kundi B katika uwanja wa Felix Houphouet Boigny. Misri sasa inaongoza kwa pointi moja tu baada ya kutoka sare mfululizo, wasi wasi mkubwa ukiwa kwenye afya ya tegemeo lake kuu, Mohamed Salah. Leo Ijumaa mechi za kufuatilia kwa karibu ni zile za Senegal dhidi ya Cameroon, saa 6 za mchana na Guinea dhidi ya Gambia baadaye saa tisa. Pia Tanzania na Zambia zitachuana Jumapili. #AFCON #IvoryCoast #football #senegal #cameroon #ghana #misri #voa #voaswahili #mchezo #tanzania #zambia
Misri yatoka sare na Ghana
- 13 Aug 2025 - President William Ruto on Wednesday assented to the County Allocation of Revenue Bill, 2025, and the County Public Finance Laws (Amendment) Bill, 2023.
- 13 Aug 2025 - The ruling follows a petition filed by four individuals, among them Nakuru-based surgeon Dr. Benjamin Gikenyi, challenging the legality of the committee appointed to audit pending NHIF claims.
- 13 Aug 2025 - The president had previously hosted thousands of youths at State House.
- 13 Aug 2025 - China expects to import 2,000 tonnes of macadamia by the end of the year.
- 13 Aug 2025 - "Tusiharibu game tumestruggle sana kuijenga.”
- 13 Aug 2025 - The PROMISES!
- 13 Aug 2025 - Senior officials from the British Army Training Unit Kenya (BATUK) failed to appear in Parliament on Tuesday to answer questions about the atrocities their soldiers have committed in the country.
- 13 Aug 2025 - African officials and experts have warned that the unpredictability of U.S. trade policy fuels uncertainty for the continent's development.
- 13 Aug 2025 - For those with visual impairments, female ownership is slightly higher at 70.8% compared to males at 66.1%.
- 13 Aug 2025 - Staying in touch with friends and family accounts for 60.2% of usage.