Mitandao ya kijamii yachangia mashaka, ni muhimu kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa chanjo -Lilian

  • | TV 47
    4 views

    "Changamoto nyingine katika utoaji wa chanjo kwa watoto ni ushawishi wa mitandao ya kijamii. Baadhi ya wazazi huuliza maswali wakisema wameona taarifa zinazopotosha kuhusu chanjo, zikiwataka wasiwachanje watoto wao. Kwa hivyo ni muhimu kuelimisha jamii kuhusu usalama na umuhimu wa chanjo." Lilian Makena, Muuguzi,The Karen Hospital

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __