Mitihani ya kitaifa kuendelea ilivyopangwa baada ya serikali kupata ufadhili

  • | KBC Video
    34 views

    Katibu katika wizara ya elimu Professa Julius Bitok amewahakikishia wananchi kwamba mitihani ya kitaifa ya mwaka huu itaendelea kama ilivyopangwa, hii ni kufuatia wasiwasi kuhusiana na changamoto za ufadhili. Akizungumza jijini Nairobi, Bitok alidhibitisha kuwa serikali imepata ufadhili wa mitihanii ya KPSEA, KILEA, na KCSE. Maelezo zaidi ni katika taarifa yake mwanahabari wetu Ben Chumba.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive