Mji wa Eldoret kupandishwa hadhi kuwa jiji

  • | Citizen TV
    1,293 views

    Mji wa Eldoret unatarajiwa kupandishwa hadhi na kuwa jiji tarehe nane mwezi ujao. Matayarisho ya hafla hiyo itakayohudhuriwa na Rais William Ruto yanaendelea. Inatarajiwa kuwa kupandishwa hadhi kw amji huo kutaimarisha utoaji huduma kwa wananchi kando na kukua kwa uchumi wa eldoret. John Wanyama anazungumza na gavana Jonathan Bii kuhusu matarajio ya serikali ya kaunti ya uasin Gishu.