Mkaguzi wa bunduki atoa ushahidi mahakamani

  • | Citizen TV
    234 views

    Mkaguzi wa bunduki katika idara ya upelelezi - DCI- amekosa kubaini ni bunduki gani miongoni mwa zile zinazochunguzwa ilitumiwa kuwauwa vijana wawili mtaani Eastleigh mwaka wa 2017