- 571 views
Mkanganyiko unaendelea kushuhudiwa katika shule za sekondari msingi zinazomilikiwa na serikali baada ya muungano wa walimu wa sekondari (KUPPET) na baadhi ya viongozi wa JSS kutia saini mkataba wa kurejea kazini baada ya kile walikitaja kama makubaliano na mwajiri wa walimu tsc. Makubaliano hayo yakikanushwa na upande moja wa walimu hao wa JSS ambao wanasema hawakuhusishwa. Awali walimu hao amabo walikutana na muungano wa KUPPET walisitisha mgomo huku wenzao wakisisitiza kuwa mgomo utaendelea hadi pale wote watapata barua za kuajiriwa.
Mkanganyiko kuhusu kusitishwa kwa mgomo wa walimu wa sekondari msingi washamiri
- 2 Jun 2025 - Marijuana worth Ksh.10.5 million has been seized at the Elle Bor area near the Kenya-Ethiopia border.
- 2 Jun 2025 - A new treatment nearly halves the risk of disease progression or death from a less common form of breast cancer that hasn't seen major drug advances in over a decade.
- 2 Jun 2025 - Senate Majority Leader and Kericho Senator, Aaron Cheruiyot has defended President William Ruto on accusations of involvement in arrests.
- 2 Jun 2025 - The floods, said to be worst in the area for 60 years, swept through the Mokwa districts
- 2 Jun 2025 - "The thing that troubles me the most is the reason why she was arrested."
- 2 Jun 2025 - Ethiopian Airlines is looking to order at least 20 regional or small narrowbody jets as it moves to expand its domestic fleet and replace some ageing aircraft.
- 2 Jun 2025 - Governor Wanga says event propelled region, upgraded Raila Stadium to national standard
- 2 Jun 2025 - It is Islam's holiest pilgrimage, but the hajj to Mecca in Saudi Arabia, which begins on Wednesday, has in recent decades been plagued by deadly disasters, from stampedes to militant attacks.
- 2 Jun 2025 - The governor publicly castigated the error.
- 2 Jun 2025 - An expeditious manhunt following the fatal shooting of a police officer in Nakuru has led to the arrest of a suspected gang members linked to the murder.