Mkazi wa Gatanga aliye na matatizo ya figo aomba msaada wa Shs .2M ili kugharamia matibabu yake

  • | KBC Video
    10 views

    Mpenzi mtazamaji, tafakari hili; huna uwezo wa kwenda haja ndogo hata kama unahisi kufanya hivyo, hii ndio uhalisia wa mambo kwa Kennedy Karanja, aliye na umri wa miaka 29 amekuwa akiyapitia kwa muda wa miaka tisa sasa. Kennedy mkazi wa Gatanga amekuwa na matatizo yan figo, na sasa anawaomba wahisani wamsaidie kupata shilingi milioni 2 ili kugharamia matibabu yake.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #TheGreatKBC #medicalappeal