Mke wa gavana wa Elgeyo Marakwet ahamasisha jamii dhidi ya ukeketaji - Mwanamke na uongozi

  • | K24 Video
    11 views

    Muungano wa wake wa magavana nchini unataka watengewe mgao wa fedha ili kufadhili miradi ambayo wanazamia katika kaunti zao. Fiona Kiprotich, mkewe gavana wa Elgeyo Marakwet Wisley Rotich ameeleza kuwa wanastahili mgao huo kwa sababu wao hushirikiana na waume wao kufanikisha miradi mbalimbali.akizungumza katika jukwaa la mwanamke na uongozi amesema kuwa mara nyingi wao hukumbana na visa vingi ambapo wao huhitajika kutoa msaada ilhali hawana mgao wao wala nafasi yao haithaminiwi na serikali.tazama