30 Jan 2026 7:28 pm | Citizen TV 1,991 views Duration: 1:04 Mkewe hayati Raila Odinga amesema kuwa atawajibikia kazi ya ubalozi wa shirika la umoja wa mataifa kuhusu mazingira aliyoteuliwa kufanya na rais William Ruto.