Mke wangu alipasuka vipande vipande baada ya kupigwa na kombora
Patrick Kahenzi alikimbia kutoka Kibumba wilayani Nyiragongo kutokana na vita kati ya waasi wa M23 na majeshi ya serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Akihojiwa na mwandishi wa VOA Austere Malivika mjini Goma, alisema mke wake alifariki baada ya kuangukiwa na bomu walipokuwa wakikimbia vita hivyo. Pia rafiki zake walijeruhiwa. Kwa sasa anaishi katika kambi ya kanyaruchinya kilometa kumi kaskazini mwa Mji wa Goma ambako hana msaada na hata ana msongo wa mawazo.
#goma #drc #vita #kambi #wakimbizi #watoto #bibi #voa #voaswahili #m23 #wapiganaji #mke #mauaji #bomu #waasi #m23
7 Aug 2025
- The late MP was a trailblazer on many fronts.
7 Aug 2025
- The operation was a joint effort between police and KWS.
7 Aug 2025
- The arrests were made during an operation on Wednesday night.
7 Aug 2025
- Two families in Mlolongo, Machakos County, are in anguish months after their kin disappeared under mysterious circumstances.
7 Aug 2025
- Kericho Governor Erick Mutai once again faces an impeachment attempt, barely a year after surviving a similar bid in the Senate.
7 Aug 2025
- A man believed to be behind a string of brutal murders in Gem Yala sub-county in Siaya was apprehended and later lynched by members of the public.
7 Aug 2025
- The late MP was a trailblazer on many fronts.
7 Aug 2025
- The operation was a joint effort between police and KWS.
7 Aug 2025
- The arrests were made during an operation on Wednesday night.
7 Aug 2025
- CBK is expected to respond to the bankers' request next week on Tuesday.
7 Aug 2025
- They have been summoned over the irregular transfer of the government land.
7 Aug 2025
- The ministers of defence and environment died in a military helicopter on Wednesday.
7 Aug 2025
- By the end of 2025, 1,000 goats and sheep are expected to be distributed unger the Hope Project