Mkulima wa majani chai katika kijiji cha Kaptilol anakabiliwa na hasara ya shilingi milioni moja

  • | KBC Video
    9 views

    Mkulima mmoja wa majani chai katika kijiji cha Kaptilol kwenye lokesheni ya Ndurio eneo bunge la Aldai kaunti ya Nandi anakadiria hasara ya takriban shilingi milioni moja kutokana na uaribifu wa mimea ya majani chai baada ya wahuni kukata miti iliyopo barabarani na kuangusha shambani humo kwa mkulima huyo wakidai miti hiyo imefunga barabara na hawawezi tena wakasafirisha bidhaa zao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News