- 190 viewsDuration: 2:04Mkurugenzi mpya wa mamlaka ya udhibiti wa kamari Kenya Peter Maina Karemi ametwaa jukumu hilo kutoka kwake peter mbugi na kuweka bayana kuwa wakenya watarajie mageuzi makubwa katika sekta ya kamari nchini ikiwemo kudhibiti matangazo yote ya uchezaji kamari nchini hadi wakati wa usiku