Mkurugenzi wa uhariri RMS Linus Kaikai azindua matembezi ya vijana

  • | Citizen TV
    273 views

    Mkurugenzi mhariri wa kampuni ya Royal Media Services Linus Kaikai alizindua matembezi ya amani ya vijana katika Kanisa Katoliki la Holy Family Bassilica Minor hapa jijini Nairobi mapema leo. Mada kuu ya matembezi hayo ni vijana kuwa mawakala wa amani na mabadiliko, na kukumbatia afya bora ya akili. Kaikai alitoa wito kwa serikali kuwapiga jeki vijana ili kustawi katika jamii.