Mkusanyiko wa taarifa kutoka kaunti

  • | KBC Video
    32 views

    Mzozo wa mpaka kati ya kaunti za Kwale na Taita Taveta umezidi kutokota baada ya serikali ya kaunti ya Taita Taveta kutoa vibali vya biashara kwa wafanyabiashara katika mji wa Mackinon Road. Serikali ya kaunti ya Taita Taveta ilichukua hatua hiyo kufuatia agizo la mahakama lililoipa mamlaka ya muda katika mji huo. Taarifa kamili kwenye mseto wa kaunti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive