Skip to main content
Skip to main content

Mkusanyiko wa taarifa kutoka kaunti mbalimbali

  • | KBC Video
    253 views
    Duration: 4:23
    Hazina ya Utalii imekariri kujitolea kwake kujenga uwezo wa sekta ya utalii. Haya yanajiri baada ya ufichuzi kwamba sekta hiyo ilizalisha shilingi Trilioni 1.2 mwaka 2024, ikichangia asilimia kumi ya pato jumla la taifa hili. Taarifa zaidi ni kwenye mseto wa magatuzi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive