Skip to main content
Skip to main content

Mkutano wa Matiang’i wavurugwa Meru

  • | Citizen TV
    1,079 views
    Mkutano wa Naibu kinara wa Jubilee Fred Matiang’i huko Meru ulivurugwa na kundi la watu katika eneo la maili tatu, kwenye siku yake ya pili, ya ziara ya Kaunti hiyo.