Skip to main content
Skip to main content

Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi ataka kura ya maamuzi wakati wa uchaguzi mkuu

  • | Citizen TV
    630 views
    Duration: 1:44
    Mkuu wa Mawaziri, Musalia Mudavadi, amependekeza kura ya maamuzi ya kikatiba iandaliwe sambamba na Uchaguzi Mkuu wa mwaka wa 2027.Mudavadi amesisitiza kuwa kuunganishwa kwa michakato hiyo kutawezesha Wakenya kuamua masuala tata kama vile ripoti ya NADCO, nafasi ya Waziri Mkuu, na sheria ya uwakilishi ya thuluthi mbili ya jinsia. Kulingana naye, Hatua hii inalenga kutatua mizozo ya kisheria na kupunguza gharama za uendeshaji wa serikali.