Mkuu wa Sheria aelezea na kufafanua sheria za kulinda mpango wa nyumba za bei nafuu

  • | West TV
    76 views
    Mkuu wa sheria justin muturi jumatano hii amefika mbele ya kamati za pamoja za fedha na mipango na kamati ya nyumba katika bunge la taifa kufafanua masuala ya kisheria kuhusu mpango wa serikali wa kujenga nyumba za bei nafuu nchini