- 246 viewsDuration: 4:01Mlima wa Nyiro unaoenziwa na Jamii ya wafugaji ya Wasamburu kuwa mahala patakatifu, umeanza kupata shughuli chungu nzima licha ya umbali wake wa zaidi ya kilomita mia nane kutoka mjini Maralal.Viongozi wa kisiasa wakifika eneo hilo kutauta baraka ya wazee.Mwanahabari wetu Bonface Barasa anatuchorea taswira ya matukio hayo