Mmiliki wa Saluni kijiji cha Nata aeleza anavyoshiriki kuhamasisha vijana kujikinga na ukimwi

  • | VOA Swahili
    1,303 views
    Katika kijiji cha Nata wilayani Serengeti, mkoa wa Mara ambacho kipo katika barabara inayokwenda katika mbuga za Serengeti, mjasiriamali ambaye baada ya kupata elimu ya virusi vya ukimwi naye sasa anahamasisha vijana wenzake. Ungana na mwandishi wetu akikuletea taarifa kamili kuhusu mafanikio ya mradi huu. Endelea kusikiliza... - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.