Mmliki wa shamba la ekari 700 atoa ardhi Endebess

  • | Citizen TV
    3,301 views

    Mmliki wa shamba la ekari 700 katika eneo la endebess kaunti ya Trans-Nzoia ameihari kutoa shamba la ekari 100 kwa maskwota waliokuwa wakiishi kwenye shamba hilo. Hatua hiyo imemaliza mzozo wa miaka 40 wa shamba hilo nje ya mahakama