Mmoja wa maafisa wa kitengo kilichovunjwa cha upelelezi SSU aachiliwa kwa dhamana

  • | Citizen TV
    1,408 views

    Maafisa wanane wa kitengo kilichovunjwa cha upelelezi SSU watarudishwa rumande huku mmoja wao akiachiliwa kwa dhamana. Maafisa hao wanatuhumiwa kwa mauaji ya raia wawili wa India pamoja na dereva wao mkenya. Kadhalika wanahusishwa na mauaji mengine ya kiholela