Moses Wetangula amenyana na Kenneth Marende

  • | Citizen TV
    1,788 views

    Shughuli ya kuhesabu kura kwenye uchaguzi wa spika katika bunge la taifa inaendelea. Moses Wetangula ambaye alijiuzulu kwenye wadhifa wa seneta wa Bungoma na ambaye ni wa mrengo wa Kenya Kwanza anamenyana na spika wa zamani Kenneth Marende wa mrengo wa Azimio la Umoja One Kenya.