Skip to main content
Skip to main content

Motisha kwa kina mama wanaojifungua hospitalini yaongeza uzazi salama Busia

  • | Citizen TV
    1,132 views
    Duration: 2:34
    IDADI YA AKINA MAMA WANAOJIFUNGULIA HOSPITALI YA KAUNTI NDOGO YALUPIDA KAUNTI YA BUSIA IMEZIDI KUONGEZEKA BAADA YA WANAWAKE WALIOKUWA WAKIJIFUNGULIA NYUMBANI SASA KUFIKA KWA HUDUMA HIZI. NA SABABU YENYEWE NI KUWA SERIKALI YA KAUNTI YA BUSIA ILIANZA MFUMO WA KUWAZAWADI KINA MAMA WAJA WAZITO NA KUTUMIA WAKUNGA KUFANIKISHA HILI