MOTO WATEKETEA KIBRA: WATU WANANE WAFARIKI, WAKIWEMO WATOTO WANNE

  • | K24 Video
    70 views

    Watu wanane wakiwemo watoto wanne wamefariki katika mkasa wa moto uliotokea eneo la kichinjio, mtaa wa Makina, Kibra ,leo alfajiri. Moto huo umeteketeza nyumba kadhaa na kuwaacha wengine wakiuguza majeraha mabaya. Chanzo cha moto huo hakijajulikana.