31 Jan 2026 7:55 pm | Citizen TV 3,579 views Duration: 1:09 Wafanyibiashara katika mtaa wa ngumba, Kasarani wamepoteza mali ya thamani isiyojulikana kufuatia kuzuka kwa moto mkubwa ulioteketeza maduka tisa mapema leo