- 2,956 viewsDuration: 2:55Maafisa wa Polisi hapa Nairobi wameanzisha uchunguzi kuhusu moto ulioteketeza kijiji cha Jangwani eneo la Mathare Area 4, na kuharibu nyumba zaidi ya 50. Aidha, watoto wawili wanaendelea kupokea matibabu katika hospitali ya Kenyatta walikozalazwa kwa majeraha mabaya ya moto