25 Sep 2025 10:25 am | Citizen TV 1,778 views Duration: 1:13 Chuo Kikuu cha Tharaka kimekumbwa na janga kubwa baada ya majengo ya Administration Block na ICT kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo. Moto huo ulidumu kwa zaidi ya saa saba bila msaada wowote wa kuzima moto.