Mpango wa kulipa polepole wawatatiza wananchi

  • | Citizen TV
    650 views

    Maswali yameendelea kuibuka kuhusu uamuzi wa serikali kuzindua mfumo wa kulipa pole pole kwa bima ya afya ya SHA, huku wakitoa mikopo kupitia hazina ya Hustler. Baadhi ya wakenya sasa wakisema mpango huu wa kulipa pole pole SHA hauna maana kwao kama wanahitajika kukopa.