Mpango wa unyunyiziaji mashamba maji kunufaisha wakulima

  • | KBC Video
    16 views

    Mpango wa mamilioni ya pesa wa unyunyizaji mashambani maji wa Waga Machame ulioanzishwa na wizara ya maji sasa unanufaisha zaidi ya watu elfu moja ambao sasa wanafurahia matunda ya kazi yao. Baada ya miaka mitano ya kutotekelezwa shughuli zozote za kilimo kwenye ardhi hiyo, wakazi wa sehemu hiyo watavuna mchele wao wa kwanza kwenye shughuli wanayosema itainua uchumi wao na kuhakikisha kuwepo kwa chakula cha kutosha katika eneo hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive