Mpina 'atemwa' rasmi urais Tanzania

  • | BBC Swahili
    1,268 views
    Chama cha ACT Wazalendo kimesema kimepokea kwa mshtuko barua ya Tume ya Uchaguzi kuwa mgombea wake wa urais asifike ofisi za Tume kwa ajili ya uteuzi. ACT imeiomba Tume iepuke mtego wa kuifanya itekeleze majukumu yake kinyume na mipaka ya kisheria na katiba. Je hatua hii imefikaje hapa? #bbcswahili #tanzania #actwazalendo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw