Mpishi aliyejizolea umaarufu mitandaoni kutokana na upishi wake

  • | BBC Swahili
    273 views
    Ali Said Mandhry amejizolea umaarufu katika mitandao ya kijamii na vyombo vya habari katika tasnia ya upishi kutokana na utofauti wake. Chef Ali kama anavyofahamika kwa umaarufu hupika vyakula vya asili kama vya Uswahilini, Kiafrika, Kiarabu, Kireno, Kihindi, Kizungu, na vya kichina. Chef Ali amezungumza na mwanahabari wa BBC Roncliffe Odit kuhusu safari yake, ufanisi wake, ujumbe alionao kwa wanaotazamia kubobea na kuwa kama yeye au hata zaidi. #bbcswahili #mapishi #hoteliers