Skip to main content
Skip to main content

Mpito wa CBC wakwama, wanafunzi gredi ya 9 katika hatari

  • | Citizen TV
    1,443 views
    Duration: 2:19
    Siku 30 kabla ya wanafunzi kufanya mitihani, changamoto zimeendelea kujitokeza kwa maandalizi ya mpito wa wanafunzi wa gredi ya 9. Huku serikali ikisema imejiandaa na iko tayari kwa sekondari ya juu, wachapishaji vitabu nchini wanasema bado hawajaanza kuchapisha vitabu hivi kutokana na deni la shilingi bilioni tatu kutoka kwa serikali